Mwimbaji wa Muda Mrefu Bob Haisa ambaye aliwahi kutamba na nyimbo kadhaa, amezungumza na kuelezea changamoto alizowahi kupitia baada ya kuacha kufanya muziki ikiwemo kuachana na mke wake na hata kuokota makopo ili ayauze apate chochote kitu.
FULL STORY iko hapa chini Bonyeza PLAY kusikiliza.
ISIKUPITE HII…! ROMA KAJITETEA KWA MKEWE, HAJAKUTANA NA MWANAMKE MIEZI 6 TOKA AENDE MAREKANI