on air with millardayo

VIDEO:Jacqueline Mengi afunguka siku za mwisho za Dr Mengi, kuzuiwa kaburini, mali alizoachiwa

on

Mke wa pili wa Marehemu Dr. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amekaa kwenye Exclusive Interview na Millard Ayo na kufafanua kile alichokiandika kuhusu kuzuiwa kuingia kwenye eneo la Familia ambako Marehemu Mume wake alizikwa.

Hata hivyo baada ya mahojiano haya tuliutafuta upande wa pili wa Familia ya Marehemu ili kusikia kauli yao juu ya tuhuma hizo zilizotolewa na Jacqueline lakini hawakuwa tayari kuzungumza chochote kwa sasa.

Soma na hizi

Tupia Comments