Video Mpya

VideoMPYA: Ommy Dimpoz kafungua mwaka kwa kolabo na Nandy

on

Baada ya trending za picha zilizosambaa mtandaoni zikimuonesha Ommy Dimpoz na Nandy kwenye mapozi tofauti tofauti na kisha Ommy Dimpoz kutolea ufafanuzi kuwa ni wimbo wake mpya unakuja na amemshirikisha Nandy, sasa wimbo huo ameuachia rasmi leo.

Wimbo unaitwa ‘Kata’ bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.

VIDEO: WIMBO MPYA WA HARMONIZE LIVE ‘HAINISTUI’ NI BALAAH, AKIMWAGIA BOSS WAKE MAJI

Soma na hizi

Tupia Comments