Habari za Mastaa

VideoMPYA: Godzilla na Mwasiti wanayo furaha kukualika kuitazama hii…- ‘First Class’

on

Kama wewe ni mpenzi wa kufuatilia video za bongofleva Godzilla anatualika leo kwenye hii video yake mpya ya ‘First Classambayo amemshirikisha mrembo kutoka bongoflevani Mwasiti, ukishaitazama video hii hapa chini usisahau kuniachia comment yako, wakali hawa wataiona hapa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIIKOSA RAP FESTIVAL DAR NIKKI WA II, ROMA, NIKKI MBISHI, STAMINA, KINGZILLA, ADAM MCHOMVU NA WENGINE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments