Michezo ya Kombe la Mapinduzi iliendelea na ikafika time ya klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani ilicheza mchezo wake wa pili wa Kundi B dhidi ya timu ya Mafunzo, Mtibwa walifanikiwa kupata goli la mapema tu dakika ya 12 kupitia kwa mshambulaiji wa zamani wa Yanga anayeichezea klabu hiyo kwa sasa Said Bahanuzi. Hii ni video ya sehemu ya mechi hiyo pamoja na goli.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE