Serikali imejibu hoja ya Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe aliyetaka kujua Serikali inaficha nini baada ya kuamua kuhamisha wakala wa ndege za Serikali kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano na badala yake kuhamishia katika ofisi ya Rais IKULU, Waziri wa Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora George Mkuchika amejibu hoja hizo na kusema kwamba hilo na jambo la kawaida.
KAULI YA NAIBU WAZIRI DR. KIJAJI BAADA YA MBUNGE KUSEMA “SERIKALI HAIKUFIKIRI”