“Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dr. Agnes Kijazi amesema upepo ulivuma na kuongezeka leo Mkoani Arusha hadi kufikia KM 50 kwa saa na kwamba kimbunga hicho kimetokea kwa muda mfupi na tayari mvua imeanza kunyesha na baada ya muda hali hiyo itapita.