Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya stori kubwa May 29 2016 ni hii kutoka gazeti la Nipashe yenye kichwa cha habari ‘Sakata la vyeti feki lawa gumzo kwa wabunge’. Gazeti hilo limeripoti kuwa siku moja baada ya serikali kutangaza kuwa itachunguza uhalali wa vyeti vya watumishi wa umma wakiwamo wabunge, uongozi wa Bunge umesema hauna kipingamizi kuhusu uamuzi huo.
Katika mahojiano na Nipashe Naibu Spika wa Bunge, Tulia Akson alisema uongozi wa Bunge hauna kipingamizi juu ya kukagua vyeti vya elimu vya wabunge ingawa bado haujapewa barua rasmi kuhusu uamuuzi huo.
#NIPASHE Uongozi wa Bunge wasema hauna kipingamizi kuhusu serikali kuchunguza uhalali wa vyeti vya watumishi wa umma pic.twitter.com/ZeeYvVBaeI
— millardayo (@millardayo) May 29, 2016
#NIPASHE Abiria Mtwara washushwa kwenye magari na JWTZ kutekeleza agizo la usafi la Rais Magufuli pic.twitter.com/EuOEySbxVX
— millardayo (@millardayo) May 29, 2016
#MWANANCHI Maalim Seif atikisa Z'bar aanza ziara siku sita, mabomu yarindima kutawanya wafuasi, baadhi wajeruhiwa pic.twitter.com/YGBW55Cuue
— millardayo (@millardayo) May 29, 2016
#NIPASHE Serikali kuboresha mfumo wa ulipaji kwa watumiaji wa daraja la kigamboni kwa kuanzisha malipo ya mwezi pic.twitter.com/RTabLSGfMk
— millardayo (@millardayo) May 29, 2016
#NIPASHE Serikali mbioni kujenga fly-over saba Dar na kufanya jiji kuwa na fly-over tisa mojawapo kujengwa Mwenge pic.twitter.com/yfs3ovHHTS
— millardayo (@millardayo) May 29, 2016
#NIPASHE Takwimu zilizotolewa na TACAIDS zimeeleza kuwa vifo vinavyosababishwa na VVU vimepungua kwa 40% nchini pic.twitter.com/5vWBZuq1Iy
— millardayo (@millardayo) May 29, 2016
#MAJIRA Serikali imeondoa hofu Watanzania na abiria wa usafiri wa anga kuwa mafuta ya ndege yapo ya kutosha pic.twitter.com/v8pEtlhS2a
— millardayo (@millardayo) May 29, 2016
#TanzaniaDAIMA Serikali yaisimamisha Sahara Energy kufuatia kuingiza mafuta ya ndege yaliyochanganywa na petroli pic.twitter.com/tiwZXjOedN
— millardayo (@millardayo) May 29, 2016
#MTANZANIA Baadhi ya wafanyabiashara wadai wenzao wanatoa rushwa bandarini na kusababisha ukiukwaji wa utaratibu pic.twitter.com/lkxAVh8HvV
— millardayo (@millardayo) May 29, 2016
#MWANANCHI Taasisi ya Utafiti Repoa imesema 47% ya walimu hutoroka kufundisha hivyo kutishia mustakabali wa elimu pic.twitter.com/PhMOrGtTbp
— millardayo (@millardayo) May 29, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA MAY 29 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE