Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge imewatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudharau madaraka ya bunge. Wabunge Easther Bulaya na Tundu Lissu wameadhibiwa kutokuhudhuria vikao vilivyobaki vya mkutano wa tatu na vikao vyote vya mkutano wa nne.
Wabunge Pauline Geku, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Godbless Lema wasiudhurie vikao vyote vilivyobaki vya mkutano wa tatu na Mbunge John Heche hatahudhuria vikao kumi vya mkutano wa tatu. Makosa hayo waliyafanya mkutano wa pili mwezi January.
#UPDATE: Jumla ya wabunge 7 wamesimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa kosa la kusimama bila kufuata utaratibu pic.twitter.com/CenM6OEewm
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#UPDATE2: Wabunge Bulaya na Lissu wameadhibiwa kutohudhuria vikao vilivyobaki vya mkutano wa tatu na vikao vyote vya mkutano wa nne
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#UPDATE3 Wabunge Pauline Gekul, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Godbless Lema wameadhibiwa kutokuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya mkutano wa 3
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#UPDATE3: Mbunge John Heche hatohudhuria vikao kumi vya mkutano wa tatu
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
ULIKOSA HII YA FREEMAN MBOWE KUZUNGUMZA BAADA YA UPINZANI KUTOLEWA TENA BUNGENI/ UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE