Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja ya story kubwa June 06 2016 kwenye gazeti la Jambo leo ni hii yenye kichwa cha habari ‘Hoja kukata mishahara ya wabunge yakwama’
Gazeti hilo limeeleza kuwa mara baada ya kuanza kwa mgomo wa wabunge wa upinzani May 30 2016, baadhi ya wabunge wamekuwa wakiomba miongozo bungeni kutaka ufafanuzi endapo wabunge waliosusia vikao wanapaswa kulipwa posho kamili sawa na wenzao wanaoendelea na vikao.
Gazeti hilo limeripoti kuwa jana Naibu Spika Dk. Tulia Ackson alijibu miongozo hiyo akibainisha kuwa wabunge hao wataendelea kulipwa posho zao kamili kwani hakuna sheria zinazozuia malipo ya mishahara na posho za wabunge hao.
#JamboLEO Naibu Spika amesema wabunge wanaosusia vikao wataendelea kulipwa posho kwani hakuna sheria zinazozuia pic.twitter.com/OQkYPL5CpF
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#NIPASHE Serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa fedha kwa ajili ya ofisi ya Rais, Ikulu na taasisi zake zote pic.twitter.com/H82N7SjU0x
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#NIPASHE Wananchi Mwanza wakumbwa na hofu kuwa huenda majambazi yaliyotoroka wakati wa mapigano na polisi wakarejea pic.twitter.com/RohdqAcLBy
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#MWANANCHI Spika Ndugai amekusudia kuwasilisha kwenye kamati ombi la ukawa la kumng'oa Naibu Spika, Dk. Tulia pic.twitter.com/dgh7eNuwil
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#MWANANCHI Serikali imesema kuwa bado ina utaratibu wa kutoa bil 18.77 kila mwezi kwa ajili ya elimu bure pic.twitter.com/kLYBCG8fiQ
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#NIPASHE Serikali kupokea dola za Marekani mil 800 (trilioni 1.75) kutoka Marekani kwa ajili ya miradi ya Maendeleo pic.twitter.com/x6eS5xbNtb
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#NIPASHE TRA imevuka lengo kwa kukusanya trilioni 1.032 sawa na asilimia 100.7 kwa May Mwaka huu pic.twitter.com/3iBsoxWqNb
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#NIPASHE Serikali kununua ndege 3 mwaka huu zitakazogharimu bil 500, ili kupunguza gharama za usafiri wa anga nchini pic.twitter.com/ikmh9UMuLA
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#NIPASHE Serikali imesema kuna upungufu wa walimu 22,460 wa masomo ya sayansi na Hisabati ktk shule za sekondari pic.twitter.com/TbkW5UxzSd
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#NIPASHE Wanasayansi Marekani wanajaribu kukuza viungo vya binadamu ndani ya nguruwe kwa teknolojia ya Gene Editing pic.twitter.com/eFRxsJXegX
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#MWANANCHI Kinana akutana na wabunge wa CCM kujadili mambo kadhaa ikiwamo la Naibu Spika kususiwa na upinzani pic.twitter.com/n3gNcwiAE4
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#MWANANCHI Kumeibuka ubaguzi baina ya wafuasi wa CCM na CUF Zanzibar na kuzorotesha shughuli za kijamii na kiuchumi pic.twitter.com/yKSQw0nCw7
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#MWANANCHI Swali la Serikali ina mpango gani wa kukarabati nyumba za askari limeendelea kuulizwa na wabunge wengi pic.twitter.com/Qtmgt6es5E
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#MWANANCHI Wasomi Chuo Kikuu cha Dar es salaam wamechapisha vitabu vya masomo yote ya sayansi kwa lugha ya kiswahili pic.twitter.com/pt4GENtm8l
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#MWANANCHI Wachina waongoza kuingia nchini kinyume cha sheria ktk kipindi cha miezi minne wakifuatiwa na Waethiopia pic.twitter.com/YgMkqn8ogp
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#JamboLEO Trafiki waagizwa kukamata angalau magari kumi kwa siku kila mmoja na kuyaandikia faini pic.twitter.com/bB04tc3Uhh
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#MTANZANIA Sukari imeendelea kupanda hivi sasa ikiwa ni kati ya sh. 2,200 hadi 6,000 ktk baadhi ya mikoa pic.twitter.com/NwwDzCGzyO
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#MAJIRA CCM imetangaza kukabiliana na CHADEMA kutokana na chama hicho kupanga kuishtaki Serikali kwa wananchi pic.twitter.com/xfdCLXlToi
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#RaiaTanzania Ndani ya miezi tisa Serikali imetumia mil 900 ktk mapambano dhidi ya kipindupindu tangu August 2015 pic.twitter.com/uRIThCsxly
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
#RaiaTANZANIA Kijiji cha Kikukwe, Missenyi faini ya ulevi, uzinzi na wanawake kuwalisha 'limbwata waume zao ni 50000 pic.twitter.com/CKIGzDIKyS
— millardayo (@millardayo) June 7, 2016
ULIKOSA WALICHOKIZUNGUMZA CCM BAADA YA UPINZANI KUSEMA WANAENDA KWA WANANCHI KUSHITAKI? UNAWZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE