Ni miaka miwili imepita tangu kufariki kwa aliyekuwa msanii wa Bongo Movie, Juma Kilowoko (Sajuki) ambaye alikuwa mume wa msanii Wastara.
Wastara kaungana na ndugu, jamaa, marafiki na watu mbalimbali katika kufanya kumbukumbu ya miaka miwili tangu kufariki Sajuki.
Nimekuwekea picha za kumbukumbu hiyo hapa.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook