Top Stories

Waziri Mkuu atoa maagizo “Walipeni pesa zao Wakulima wa korosho” (+video)

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo ihakikishe asilimia tatu ya wakulima wa zao la korosho waliosalia wanahakikiwa na kulipwa.

Hadi sasa zaidi ya asilimia 96 ya wakulima wa korosho waliouza korosho zao katika msimu wa 2018/2019 wameshahakikiwa na kulipwa.

“Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ipo makini, hivyo hakuna Mtanzania yeyote atakayepoteza haki yake.” Waziri Mkuu

RAIS MAGUFULI ATOA DILI KWA WATANZANIA WOTE “FANYENI KUNA HELA MSIOGOPE”

Soma na hizi

Tupia Comments