Leo February 24, 2019 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu amemtania Prof. Juma Athumani Kapuya baada ya kuoa Mke wa pili hivi majuzi.
“Kapuya tuliongoza Wizara za Kazi, Ajira pamoja yeye akiwa Bara mimi nikiwa Zanzibar lakini mwenzangu kaenda extra mile juzi,naomba Wnawake wote tumpigie makofi” Makamu wa Rais
WAFANYAKAZI TISA WAFARIKI AJALINI MOROGORO, KAMANDA AWATAJA