Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Hii ndiyo maana ya hizi picha za Weusi na maelezo yake.

on

Screen-Shot-2014-04-10-at-10.17.17-AMInawezekana uliziona picha mbalimbali za Weusi lakini hukuelewa nini ambacho kinafuata au nini walikimaanisha Weusi lakini leo kupitia 255 ya Clouds Fm msemaji wa Weusi Nikki wa Pili ameelezea kilichopo juu ya picha hizo ambazo zipo kwenye akaunti zao za Instagram.

Nikki wa pili alianza kwa kusema>>’Gere video iko tayari na milango iko tayari kwa mtu anaetaka Xclusive ya siku tano kwa mfano wewe una kampuni yako una fun page yako au una tangazo lako unataka watu wengi wafike pale,unaweza ukachukua video ya Gere ukaweka pale kwa siku 5 watu wakija kuona video wanaona na tangazo lako’

‘Kuhusu malipo ni makubaliano tu maana ndiyo biashara hivyo inabidi uje  ukimtafuta Nikki wa pili au ukienda kwenye Instagram tunawasiliana tu’.

Video hii ambayo inasemekana imefanywa nchini Kenya bado Weusi hawajamuweka wazi ni Director gani aliyei-direct hii video

 

Tupia Comments