Premier Bet
TMDA Ad

Video Mpya

VideoMpya: Uli-miss kazi za Weusi kuna hii wapo na Christian Bella ‘Nijue’

on

Leo March 18, 2018 Weusi kutoka Arusha wameachia Video ya wimbo wao waliomshirikisha Christian BellaNIJUE‘. Ni Nahreel kutoka The Industry ndo kai-produce wakati Video ikiongozwa na Hanscana.

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama pia usisahau kuacha Comment yako ili waweze ona maoni yako juu ya wimbo wao.

FULL VIDEO: Uzinduzi wa Album ya Wakazi KISIMANI ulivyokuwa

Soma na hizi

Tupia Comments