Top Stories

Wajawazito wanavyolala chini kwa kukosa vitanda Kagera

on

Wajawazito katika Wilaya ya Kyerwa, Kagera wameeleza changamoto kubwa wanayokumbana nayo wanapohudhuria katika moja ya Kituo cha Afya Nkwenda kwa kulala sakafuni kutokana na uchakavu na ukosefu wa vitanda.

Kutokana na changamoto hiyo Serikali imetoa vitanda 20 na magodoro 20 pamoja na shuka 50.

Akikabidhi msaada huo Mbunge wa Jimbo hilo Innocent Bilakwate, amewasihi walengwa kuvitumia kwa umakini ili vidumu ikiwa ni njia ya kupunguza changamoto.

Uliiona hii? “Kila mtu anapenda mafanikio lakini changamoto ndio hoja” – Anna Makinda

Hii je? “Walisema Spika dhaifu wakaingia kwenye 18 zangu” – Spika Ndugai

Soma na hizi

Tupia Comments