Habari za Mastaa

Wema amuandikia Makonda “Sikukufahamu mpaka nilipokuchukia”

on

Mwigizaji Wema Sepetu bado anazo headlines za baada ya kurudi CCM ambapo leo kaendelea kuandika ya moyoni kuhusu uhusiano wake na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Maneno yake aliyoyatoa leo ni haya >>> “Sikukufahamu vyema mpaka nilipokuchukia, na sasa nilipokutana na wewe nashukuru Mungu nimekupata maana hata kila wingu jeusi huwa na rangi ya fedha”

HAKUNA CHENYE MWANZO KISICHO NA MWISHO” – WEMA SEPETU KWA PAUL MAKONDA

Soma na hizi

Tupia Comments