AyoTV

FULL VIDEO: Wema Sepetu alivyotangaza kuhamia CHADEMA

on

“Natamka rasmi nimeamua kuhama CCM na kuhamia CHADEMA na kwa uamuzi huu sitaki ionekane labda ni hasira kutokana na tuhuma za juzi” – WEMA SEPETU.…… Mtazame kwenye hii video hapa chini kufahamu kila kitu alichoongea

FULL VIDEO: Wema Sepetu alivyopokelewa Dar es salaam baada ya kuukosa Ubunge wa viti maalum CCM, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments