Leo September 28, 2017 umefanyika uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa kitaifa unaotoa uelewa mpana kuhusu hali ya huduma za kifedha nchini Tanzania na kubainisha mahitaji na tabia za watumiaji wa huduma hizo.
Baada ya uzinduzi huo Gavana wa BoT, Prof Benno Ndulu amezungumza na waandishi wa habari kuhusu utafiti huo.
ARUSHA: DIWANI KAWAJIBU LEMA NA NASSARI