Inawezekana hukua unaamini kuwa kuna siku jamaa hawa wawili ambao walikua wakiwakilisha ‘Top Band‘, Q Chief na TID wasingeweza kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao na hii imetokana na kuingia kwenye headlines sehemu mbalimbali kuwa hawako sawa, taarifa ikufikie kuwa TID na Q Chief kwa sasa wako fresh na wanarudi pamoja kimuziki tena.
Kwenye interview ya kukumbuka album zilizopita kwenye XXL ya Clouds FM August 13 waliwaita Q Chief na TID, yamezungumzwa mengi sana kwenye interview hii ikiwemo album nyingine itakayotoka itakayowaunganisha Q Chief na TID, Nimekurekodia interview yote mtu wangu.
Bonyeza play kusikiliza interview yote.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos