Michezo

Wachezaji 10 wa Man United watakaoikosa game vs PSG

on

Club ya Man United kesho itakuwa Paris nchini Ufaransa kucheza game yake ya marudiano ya 16 bora ya UEFA Champions League msimu wa 2018/2019, Man United wanaenda Ufaransa wakiwa na uhitaji wa ushindi wa kuanzia magoli 3-0 na kuendelea ili wacheze robo fainali ya UEFA.

Man United sasa inakumbana na wakati mgumu zaidi kwani imethibitika kuwa itawakosa wachezaji wake 10 kwa sababu tofauti tofauti ikiwemo majeruhi, kuumwa na Paul Pogba akiwa anatumikia adhabu ya kuoneshwa kadi nyekundu katika mchezo uliopita.

Hawa ndio wachezaji wa Man United watakaoikosa game dhidi ya PSG.

Mwinyi Zahera alisababisha shabiki wa Yanga abet mke wake

Soma na hizi

Tupia Comments