Habari za Mastaa

VideoMPYA: Huyu ndie Allan Kingdom aliyempa shavu G Nako kwenye ‘Kwangu’

on

Kutana na Mtanzania Allan Kingdom ambaye anaishi nchini Marekani na aliwahi kufanya kazi na Rapper Kanye West ambapo this time amemvuta G Nako kutokea kwenye kampuni ya WEUSI na  kuileta ‘Kwangu’, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

VIDEO: CHEKI STYLE MPYA BALAAH ZA CHALII ‘R’ CHUGGA, “MBELE MBELE YAO, KUSOMA NI USIKU”

Soma na hizi

Tupia Comments