Kutana na wakali wawili wa muziki kutokea Nigeria Ice Prince pamoja na Mr. Eazi wakiwa wameipika brand new hit ya ‘In A Fix’ na kuileta kwako kwa ajili ya kuburudika, fanya kubonyeza PLAY hapa chini kutazama video yenyewe.
VIDEO ATHARI ZA MVUA: MAMBO MATATU YA KUSHANGAZA KATIKA MAFURIKO YA JANGWANI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA MWANZO MWISHO