Baada ya nyimbo ya ‘Johnny’ na ‘Tangarine’ kufanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya habari za burudani, Staa wa Nigeria Yemi Alade karudi tena kwenye Headlines za burudani leo baada ya kauchia ngoma yake mpya ‘Na Gode’ aliyomshirikisha Selebobo.
Neno ‘Na Gade’ linatoka kwenye lugha ya Hausa huko Nigeria likimaanisha asante.
Nakukaribisha hapa kuisikiliza mtu wangu.
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.