Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

PICHA15: Mastaa walivyojitokeza kwenye uzinduzi wa BAR mpya ya Dj wa Diamond

on

Usiku wa February 16, 2018 Dj wa Diamond Platnumz alizindua Bar yake mpya ambayo inapatikana maeneo ya Masaki DSM ambapo kwenye uzinduzi huo walihudhuria mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu na wasanii wa WCB ambao ni Harmonize na RayVanny.

Hizi hapa Picha 15 za mastaa hao wakati wa uzinduzi na matukio mengine yalivyoendele..

Wema Sepetu amezungumza akiwa na Dj wa Diamond katika uzinduzi wa BAR Mpya

DADA WA DIAMOND: “Haiwezekani, Diamond Hajaachana na Zari”

Soma na hizi

Tupia Comments