Michezo

Matokeo yalikufikia lakini hukuona magoli ya Mtibwa 0 – 2 Yanga, ninayo kwenye hii video

on

Ni mechi ambayo ilichezwa September 30 2015 Morogoro ambapo ushindi ulikuwa wa Yanga kuifunga Mtibwa 2 – 0, inawezekana matokeo uliyapata lakini magoli hukuyaona, hii video hapa chini itakuonyesha.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments