Habari za Mastaa

Kinachosemekana kutoka kwa Jokate na Ommy Dimpoz kwa sasa #LOVE

on

jokate_mwegeloSijui kama ni time ya mastar wa Tanzania kuamua kuonyesha wazi mapenzi yao kwa mastar wenzao,hii ni kutoka kwenye meza ya Soudy Brown ambapo kuna stori zimetoka kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Jokate na Ommy Dimpoz.

dimpozOmmy Dimpoz alipoulizwa na Soudy Brown kuhusu uhusiano huu mpya amejibu kuwa ‘Ee bwana mi sielewi chochote na hayo maswali unayonambia siyaelewi halafu cha pili mimi sina uhusiano ja Jojo’

‘Jojo ni mshkaji wangu tu mimi ni mwanamuziki na yeye mwanamuziki na ukaribu wetu umetokana na kazi lakini nimeshangaa kidogo watu wanaongea hivyo vitu lakini pia ni msichana mzuri,kuwa na bwana ni kitu cha kawaida’.

88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Masasi.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments