Habari za Mastaa

Umesikia alichokifanya Ben Pol Dodoma?sikiliza kupitia You Heard ya leo March 07.

By

on

ben polHuu ni mtiririko wa matukio yanayomfikia Gossip Cop Soud Brown,leo tukio lililofikishwa mezani kwake ni la Ben Pol kuchukua pesa ya show na kisha kutoonekana kwenye show yenyewe iliyokuwa imeandaliwa na wanachuo kutoka Dodoma,sikiliza kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments