Mix

Umesikia kuhusu taarifa inayomhusu msanii YP? Isome hapa

on

Breaking IITaarifa niliyoipata hivi punde inahusiana na msiba wa aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family.

Babu Tale

Kupitia Tweet ya Anna Peter aliyoiweka dakika chache zilizopita, amesema amezungumza na meneja wa kundi hilo Said Fella ambaye amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

Fredz

Babu Tale  II

Tupia Comments