Habari za Mastaa

Ukweli wa taarifa za Mzee Yusuf kuoa mke wa tatu uko hapa

on

Mzee Yusuf ni staa kutoka kwenye muziki wa Taarab Tanzania, moja ya stori zilizomfanya aongelewe zaidi ndani ya hizi wiki ni habari zake zilizosambaa kwamba ana mpango wa kuongeza mke wa tatu, tazama hii video hapa chini kupata info na ukweli wake.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments