Video Mpya

VideoMPYA: Chege anakualika kuitazama “Kaitaba” ft Saida Karoli

on

Ni time ya kuipokea video ya wimbo mpya wa “Kaitaba” kutoka kwa mkali wa Bongofleva Chege akiwa amemshirikisha mkongwe wa nyimbo za asili Saida Karoli ili kuweza ku-enjoy wimbo huu bonyeza PLAY hapa chini.

Ulipitwa na harusi ya AY na Mpenzi wake Remy??

Soma na hizi

Tupia Comments