Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Janja Kafunguka penzi lake jipya “AMENILIPA ZAID YA M.5”

on

Leo January 18, 2018 AyoTV na millardayo.com imempata Dogo Janja na kumuhoji kuhusu kile kinachoendelea mtandaoni kwa kudaiwa kuwa amempata mpenzi mpya na anahela sana je ni tarifa za kweli..? Dogo Janja amejibu kuhusu hilo.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA DOGO JANJA AKIZUNGUMZA.

VIDEO: NDOA MPYA YA JANJA, MADEE KAZUNGUMZA KATAMBULISHWA MPENZI MPYA?

Soma na hizi

Tupia Comments