Mix

LIVE: Zitto Kabwe anazungumzia kuhusu uteuzi wa Prof. Kitila Mkumbo

on

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia John Pombe Magufuli kufanya uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kumteuwa Prof. Kitila Alexander Mkumbo, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amekuatana na waandishi wa habari Dodoma kuzungumzia hilo, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: ‘Kauli hii kwangu mimi ni ishara ya kufilisika kiitikadi’-Zitto Kabwe, Bonyeza play hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments