Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Picha za kwanza kutoka kwenye redcarpet ya #ZariAllWhiteParty Dar es salaam May 1 2015

on

WPParty imefanyika MAY 1 2015, story tayari ziko nyingi mitandaoni kuhusu burudani hiyo na ninafahamu kuna watu ambao hawako Dar na wangependa kuona kilichotokea.. wengine wako Dar ila hawakuhudhuria pia, nimeona isiwapite kabisa watu wangu !!

Naanza kwa kuzileta hizi picha kwanza alafu badae nitakuwekea video zote kwenye YouTube Channel ya millardayo ambayo unaweza kujiunga kwa kusubscribe ili kila video ikipanda utumiwe taarifa, bonyeza hapa >>> YOUTUBE

DSC_2862

Ninazo pichaz nyingi sana mtu wangu, watu walipendeza sana.. nakusogezea kwanza hizi zaidi ya 35 za kwanza !! Kuanzia Red Carpet na kuendelea..

IMG_4412

IMG_4432

DSC_2512

Burudani ya Makomando stage Red Carpet.

IMG_4344

Nje palikuwa hivi, watu wanasogea mdogomdogo Mlimani City, DAR.

IMG_4356

Msami kwenye Red Carpet.

DSC_2824

Queen Darleen na watu wake

IMG_4407

Fans wengine walikuwa na bango kabisa !!

IMG_4419

TID na Lamar kwenye Interview Red Carpet

DSC_2765

.

IMG_4299

.

IMG_4300

.

IMG_4301

.

IMG_4304

Khamis Dakota

IMG_4306

.

IMG_4307

.

IMG_4339

Watu wa nguvu kwenye picha za kumbukumbu.

IMG_4313

.

IMG_4325

.

IMG_4347

Camera zote zikaangalia Red Carpet.

IMG_4373

Barakah Da Prince

IMG_4361

.

IMG_4433

Msanii Ditto kwenye Interview

IMG_4440

Producer Sheddy Clever, mikono yake imeandaa hits nyingi za Diamond Platnumz

IMG_4448

Ruby

IMG_4454

.

IMG_4484

.

IMG_4487

Keisha, mkali mwingine Bongoflevani

DSC_3307

Boss wa Clouds, Ruge Mutahaba wako na Eric Omondi, comedian toka Kenya.

WCB II

.

WCB III

.

DSC_2777

Diamond Platnumz anashuka kwenye Limo.. kaongozana na Madam Rita, baunsa wake Mwarabu na Meneja wake, Salam.

DSC_2788

Hapo yuko Mkubwa Fella, Salam, Zari, Diamond Platnumz, Nay wa Mitego, Mwarabu pamoja na rapper AKA.

DSC_2803

Camera zilikuwa nao hatua kwa hatua.

DSC_2837

.

DSC_2821

.

DSC_2859

.

DSC_2862

.

DSC_2592

.

DSC_2869

.

DSC_3131

.

DSC_2713

.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments