Mkuu wa wilaya Bukoba Deodatus Kinawilo amemuagiza OCD kumkamata na kumuweka ndani Mkandarasi wa Kampuni ya Speed Building kwa kusababisha wananchi zaidi ya 3000 kukosa maji wakati ameshalipwa.
Pia Mkandarasi huyo hakuonekana kwenye eneo la mradi hivyo amemuagiza Mkurugenzi kufanya uchunguzi na kusitisha mkataba nae ili wamuweke mtu mwingine.
CHADEMA wafunguka Lowassa kuonekana mikutano ya CCM? “Ole wake”