Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 5: Mapokezi ya timu ya taifa ya Cameroon baada ya kuwasili na Kombe la AFCON 2017

on

Usiku wa February 5 2017 Cameroon ilicheza fainali ya AFCON 2017 dhidi ya Misri na kufanikiwa kushinda goli 2-1, magoli ya Cameroon yakifungwa na Nicolas N’koulou dakika ya 58, Vincent Aboubakar dakika ya 88 huku Mohammed Elneny akiifungia Misri goli moja na pekee dakika ya 22.

Ushindi huo wa AFCON 2017 kwa Cameroon unakuwa ni ushindi wao wa tano katika historia, lakini ni ushindi uliyokuja baada ya miaka 15 toka wachukue taji hilo, baada ya ushindi Cameroon wamewasili kwao na kupokewa na mashabiki na wapenzi wa soka wakiwa na Kombe lao la AFCON.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement