Tangaza Hapa Ad

Michezo

Mechi 12 atakazozikosa Eric Bailly wa Man United baada ya kuumia goti

on

Beki wa kimataifa wa Ivory Coast anayeichezea Man United ya Enland Eric Bailly, October 25 2016 jina lake limegonga headlines tena England baada ya taarifa za muda atakaokaa nje ya uwanja kutajwa kutokana na jeraha la goti alilolipata jumapili wakati wa mchezo dhidi ya Chelsea.

39a38c3c00000578-3871578-image-a-99_1477412980181

October 25 2016 taarifa ya wataalam wa afya wa Man United wametoa kuwa Eric Bailly aliyejiunga na Man United kwa dau la pound milioni 30 akitokea Villarreal ya Hispania atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili kutokana na kuuguza jeraha lake la goti la kulia.

39a397fd00000578-0-image-a-97_1477411565077

Bailly aliumia katika mchezo wa Man United dhidi ya Chelsea uliomalizika kwa Man United kufungwa goli 4-0 Stamford Bridge, Bailly alilazimika kutolewa nje dakika ya 52 na nafasi yake kuchuliwa na  Marcos Rojo, taarifa hizo zinakuwa pigo kwa Man United wanaocheza na Man City October 26, Bailly atakosa mechi 12.

gf

Mechi atakazozikosa Bailly baada ya kuumia goti

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement