Tangaza Hapa Ad

PICHA 10: Mapokezi ya Akothee Kenya, baada ya ushindi wa tuzo za AFRIMMA na AEAUSA


Muimbaji wa Kenya Akothee ambaye alimshirikisha Diamond Platnumz wa Tanzania katika hit single yake ya ‘Sweet Love’, amewasili Nairobi Kenya baada ya ushindi wa tuzo mbili alizoshinda nchini Marekani.

2

Akothee amepokelewa kwa furaha kwao Nairobi, mapokezi ambayo yaliongozwa na baba na mama yake, kama utakuwa unakumba Akothee alitangazwa mshindi wa tuzo ya AFRIMMA ya msanii bora wa kike wa Afrika  Mashariki October 15 2016 Dallas Texas Marekani.

3

Muimbaji huyo alishinda pia tuzo ya msanii bora wa kike 2016 katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA).

5

8

10

6

7

4

Miss Tanzania 2016 ameona kilichosambazwa kuhusu elimu yake, kayasema haya

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement