Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: OMG wametuletea hii ya kuitazama time hii wamemshirikisha Rosa Ree

on

Kundi la muziki la OMG linaloundwa na vijana watatu ambao ni Salmin Swaggz, Young Lunya na Con Boi lililopo chini ya record label ya (SMG) Switch Music Group, wanatualika kutazama video ya wimbo wao mpya inaitwa Wanangu Na Wanao ambao wamemshirikisha mkali mwingine wa Rap nchini Rosa Ree..

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama video hiyo..

Baada ya kufungiwa kuimba na kupost mitandaoni kwa miezi 6, Pretty Kindy ameyasema haya

Soma na hizi

Tupia Comments