Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Urban hit 10 ya TRACE TV, Video sita kutoka Afrika

on

Kama wewe ni mpenzi wa burudani utataka kujua ni nyimbo gani kali zinazofanya vizuri Africa, Trace TV wametuletea list ya ngoma kumi kali kutoka duniani kote kupitia chat zao za Urban Hit 10, Goodnews! nikwamba video 6 zimeshikiliwa na waafrika.

kama ulipitwa na list ya video za chat hiyo mtu wangu, nakusogezea  hapa chini na wewe ujionee… 

img_20160929_205459

img_20160929_205527

img_20160929_205600

img_20160929_205626

img_20160929_205650

img_20160929_205714

img_20160929_205752

img_20160929_205812

img_20160929_205858

img_20160929_205920

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA MAMA DIAMOND KUHUSU KUPOSTIANA NA WEMA SEPETU? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement