Tangaza Hapa Ad

Billnass aeleza chanzo cha beef yake na Mtangazaji…………


Kama utakuwa mfuatilia wa stori za mastaa hivi karibuni kulitokea kutoelewana kati ya Billnass na Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness aka Diva The Bawse.

Sasa leo Sept 20, 2016 Billnass ameipata heshima millardayo.com & Ayo TV kueleza jinsi ilivyokuwa mpaka kumaliza tofauti zake na kuyaongea haya>>>Issue ilitokea baada ya kuandikwa kwenye magazeti stori yenyewe mimi sijaisoma niliiona kupitia mtandao wa Instagram na ┬ánakumbuka ile siku nilipokuwa naelekea Clouds FM nikakutana na Diva ┬ánikaeleza ukweli wa hali halisi ilivyokuwa na mwisho tukayamaliza’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Billnass akieleza chanzo cha beef hiyo

ULIKOSA SWALI LA NIKKI WA 2 NDANI YA BADI KUNA FID Q, MR BLUE NA WENGINE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement