Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

TRAILERS: Movie 7 utazikuta Cinema Dar es salaam leo Sept 9

on

Najua nina watu wangu tu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend kama hivi sasa kama upo Dar es salaam kuna hizi movie labda ukitazama Trailers hapa unaweza kushawishika kwenda kuzitazama.
Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center, Arusha Mall, unaweza ukaangalia trailers za movie hapa chini zitakazooneshwa leo usiku

Tom Hanks

Nine Lives

The Shallows

Skiptrace

Freaky Ali

Mechanic

Akira

ULIIKOSA HII YA MAMA WEMA SEPETU AELEZA TOFAUTI ILIYOPO KATI YAKE NA MAN FONGO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement