Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Breaking News

POLEPOLE AREKODIWA: “Hatuna hiyo taarifa ya Wema kurudi” (+Exclusive Audio)

on

Katibu wa Itikadi na uenezi Chama cha Mapinduzi CCM Humphrey Polepole ameingia kwenye headlines baada ya kuonekana kujibu kwa maandishi taarifa za Mwigizaji Wema Sepetu kurudi CCM baada ya kutangaza kujiondoa CHADEMA leo.

Sehemu ya aliyoyaandika Polepole leo ni >>> “Chama chetu sio Daladala mtu anaweza kupanda na kushuka wakati wowote, ni heri akabaki hukohuko ama akaanzie kule ambako alichukulia kadi yetu”

AyoTV na millardayo.com zimempata Polepole kwenye simu na kueleza yafuatayo >>> “Mimi kama Msemaji wa Chama na kwa niaba ya Chama, hatuna hiyo taarifa mpaka sasa hivi na unajua Mwanachama harudii Mtandaoni, kuna utaratibu wa kikatiba wa namna ambavyo mtu anakuwa Mwanachamamsikilize zaidi kwa kubonyeza PLAY hapa chini

BREAKING: WEMA SEPETU AONDOKA CHADEMA, ARUDI CCM

FULL VIDEO: WEMA SEPETU ALIVYOTANGAZA KUHAMIA CHADEMA, BONYEZA HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments