Tangaza Hapa Ad

IMAGINATION: Baada ya Pogba kuthibitika kujiunga na Man United, chat za wachezaji wa Man zilikuwa hivi


Imekuwa ni kawaida kwa kundi au wafanyakazi wa taasisi fulani kuwa na group lao la whatsapp kama sehemu ya kushea mambo tofauti tofauti, mfano Jarmie Vardy wa Leicester City alishawahi kukiri kuwa yupo katika group na wachezaji wenzake wakubwa.

Mtu wangu wa nguvu katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii sio conversation halisi ya group la whatsapp la wachezaji wa Man United, ila 101greatgoals.com wameandika kwa mfano (imagination) yaani group la whatsapp la wachezaji wa Man United conversation zitakavyokuwa baada ya kujua wanaungana na Paul Pogba.

Nimeona ni shee na wewe mtu wangu wa nguvu kutokana na kuwa zinachekesha na kuvutia.

01 02 03

04

05

06 07

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement