PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

Part 5 Misukosuko: “Nilikata tamaa, nilipoteza mawasiliano na wazazi wangu”

on

Karibu kuitazama part 5 ya Mtanzania Bori aliyezamia Ujerumani kwa kutumia boti lakini katika safari hiyo alikutana na misukosuko kibao ambayo ilimfanya mwisho wa siku akate tamaa hii ni baada ya kupoteza mawasiliano na wazazi wake ambao walikuwa wakimpati pesa za matumizi.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama simulizi ya Part 4.

ULIPITWA NA PART 4 MISUKOSUKO? ” POLISI WALIKATAA KUWA SISI SI WA SOMALI, ALILIA KAMA MTOTO”

Soma na hizi

Tupia Comments