Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Msanii aliyefuta verse za Baraka The Prince kwenye wimbo wake kafunguka (+Video)

on

Ayo TV na millardayo.com zimekaa na mwimbaji wa Bongo Fleva Yamungu ambaye amefunguka kwenye Exclusive interview na kudai kuwa aliwahi kufanya kazi na Baraka The Prince na kumlipa kiasi cha shilingi laki 2 za Kitanzania kwa ajili ya kuachia Audio na Video lakini mwisho wa siku ilikua ngumu kufanya nae kazi.

Baraka The Prince ambaye watu wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu nidhamu yake kuwa mbovu huku wengine wakitaja kuwa ndio sababu iliyomfanya mpaka kushuka kimuziki, msanii huyo alienda mbali na kusema ngoma ya ‘I’m Sorry’ aliyotakiwa kufanya na Baraka alifuta verse na kumpatia Beka Flavour.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza mwanzo mwisho

VIDEO: ULIPITWA NA HII YA WEMA SEPETU KUACHIWA HURU, MWANASHERIA ATHIBITISHA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments