Habari za Mastaa

Leo ndio Hukumu ya Lulu inatolewa, tazama alivyoingia Mahakamani (+video)

on

Baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia kwenye kesi ya kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba, leo ndio Hukumu inatolewa dhidi ya Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” tazama hii video hapa chini kutazama alivyoingia Mahakamani leo

VIDEO: WEMA SEPETU ASEMA ALIKIBA NA DIAMOND NI WENZAWAZIMU… MTAZAME HAPA CHINI

IMEFAHAMIKA: Hapa ndipo anapoishi Dr. Luis Shika, Majirani waongea…. Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments