Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Waziri Lukuvi katangaza Serikali kuchukua shamba la Manji


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amefuta mashamba mawili yalioko wilayani kigamboni jijini Dar es salaam na kurudisha mashamba hayo kwa serikali ya wilaya ya kigamboni.

Ufutaji hu ni baada ya wamiliki hao kushindwa kuyaendeleza na kuwanyima fursa wananchi kufanya shughuli zingine na kuinyima wilaya kufanya shughuli za viwanda na uwekezaji mwingine kutokana na kuhodhi kwa maeneo hayo. Bonyeza play hapa chini kuitazama

Ulikosa? hii ya Waziri Kigwangalla Bungeni, ni kuhusu wanaume wasiofanya tohara, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement