Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

AudioMPYA : ‘Hela’ ya Madee imenifikia mtu wangu unaweza kuisikiliza hapa..

on

Kwenye list ya wasanii ambao wameufungua mwaka 2017 Madee nae anaingia kwenye list hii baada ya leo kuitambulisha singo yake mpya inayoitwa Hela,imefanywa MJ Records na Producer wa Singo hii anaitwa Daxo Chali,unaweza kuisikiliza hapa mtu wangu.

Uliisikia mipango ya Madee kwa mwaka uliopita wa 2016?Aliisema hapa.

Tupia Comments

Advertisement