PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

Majibu ya Mama Wema kwa waandishi wa habari “Mimi mtu mzima/ Akili zako haziko sawa”

on

Mama mzazi wa Wema Sepetu alitangulia kufika katika uzinduzi wa Movie mpya ya mwanae uliofanyika usiku wa September 28, 2018 ambapo alikutana na maswali ya waandishi wa habari na yeye hakusita kuyajibu. PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA MAMA WEMA ALIVYOKUWA AKIJIBU.

Mama yake Diamond uzinduzi wa Movie ya Wema “Nimempa Wema zawadi, Diamond hajanituma”

Soma na hizi

Tupia Comments